Kuna mtu aliekwenda kanisani
Jumapili akatoa ushuda kuwa
alikuwa na ebola na Mungu
akamponya. Alipomaliza akataka
ampe 'mic' mtu anayefuata,
jamaa akakataa.
jamaa:(Mh! ebola?)Sina ushuhuda mpe
pastor.
Pastor:(mh amepona kweli huyu)Mimi sihusiki na shuhuda,
mpe senior pastor.
Senior pastor:(Hata mtoto mdogo hakubali)Ndugu katika kristo.
Mic ni ya kwako. Ni zawadi kutoka
kwa kanisa. Nenda nayo
nyumbani.
EBOLA ni shidah
No comments:
Post a Comment