Monday, 15 September 2014

MWALIMU MKUU NA WANAFUNZI WAKE WOTE MACHIZI

Haha eti mmenibania kunipigia kura sasa nimepandishwa mshahara kutoka 80k hadi 10k msionipigia ntawapiga mateke wote haya sura ya kazi sasa

mwalim wa history akawauliza
wanafunz
mwl:eehe! ni nani aliyemuua chifu
mkwawa?
mwanafunz 1:aka! sio mimi
wa 2:wallah! siusiki
wa3:kwanza mi jana cjaja shule!
mwl alipoona wanafunz wote ni
vilaza akaamua kumuita mkuu wa
shule,mkuu wa shule alipoenda
akawauliza lile swali kwa
vitisho,mambo yakawa vilevile
ndipo mkuu wa shule alipomuita
mwl pemben na kumnong'oneza
"lakini una uhakika muuaji yupo
darasa hili?"

No comments:

Post a Comment